×
HABARI KUBWA Mtazamo mpya kuhusu Quran
Kiswahili

HABARI KUBWA Mtazamo mpya kuhusu Quran

Reads: 1,449

Description

Wanazuoni wa Kiislamu wa kizazi hadi kizazi wameifanyia kazi miujiza ya Quran.
Wakapanua sana katika kubainisha sehemu za miujiza. Na wakazama katika aina za miujiza
ambayo yenyewe inazidi uwezo wa kuidhibiti idadi yake… Isipokuwa miujiza hiyo ya Quran
inasalia kuwa ni maalum na kutokana na miujiza hiyo huchimbuliwa mambo mapya katika
kila zama. Na hivyo hivyo Quran inaendelea kuwa ni muujiza wa kila zama. Yenyewe
inajisasisha daima. Jambo ambalo linathibitisha na kuonesha ushahidi ya kuwa Quran hii
haitokani na mwanadamu…

Available Languages

Download PDF

Scan to download

Open this link on your device or scan the QR code to download the book directly.

https://islamic-invitation.com/downloads/the-quran-an-eternal-challenge_swahili....