×
HUU NDIO UISLAMU – Uoni wa kina juu ya dini zinazoongezeka
kwa kasi zaidi ulimwenguni
Kiswahili

HUU NDIO UISLAMU – Uoni wa kina juu ya dini zinazoongezeka kwa kasi zaidi ulimwenguni

Reads: 1,392

Description

Hivi huoni umuhimu wa kuiona taswira sahihi iliyo bayana ya ubora wa Dini yenye kujadiliwa zaidi kwenye vyombo vya habari duniyani?
Hivi huoni haja ya kutulia na kuitambua kwa kina Dini inayoenea kwa kasi duniani na inayo kubalika kwa haraka kwa mujibu wa takwimu za kimataifa
Hivi wewe hupati raha katika kuvumbua na kuzifahamu tamaduni za watu wengine na falsafa zao kuhusu maisha, Dini, na ulimwengu unaotuzunguka?
Je utaipa nafsi yako nafasi kwa ajili ya kutambua maarifa yaliyothibitishwa yahusuyo Dini ya Kiislamu kutoka katika vyanzo vyake vya asili, kisha uyahukumu kwa kutumia uwezo wako wa kufikiri na akili yako?
Ikiwa unaona hilo ni jmabo muhimu au ni lenye kuvutia basi kitabu hiki chaweza kukusaidia kwenye jambo unalo litaka
Download PDF

Scan to download

Open this link on your device or scan the QR code to download the book directly.

https://islamic-invitation.com/downloads/this-is-islam_mobile-version_swahili.pd...