×

Books

Browse Islamic books and literature

46 Books
VYAKULA
Infografiki hii inazungumzia vyakula katika Uislamu ikiweka wazi vyakula vya halali na vya haramu. Pia imegusia kubainisha sheria za kula wanyama na mambo yanayohusiana na wanyama ikiwa ni pamoja na uchinjaji na uwindaji kwa utaratibu wa kisheria.
Kiswahili
VYAKULA Infografiki hii inazungumzia vyakula katika Uislamu ikiweka wazi vyakula vya halali na vya haramu. Pia imegusia kubainisha sheria za kula wanyama na mambo yanayohusiana na wanyama ikiwa ni pamoja na uchinjaji na uwindaji kwa utaratibu wa kisheria.

Muharram ni mwezi wa kwanza katika miezi ya mwaka (wa kiislamu ) wa Hijiriya . Muharram (Mfungo Nne)
Infografiki hii inazungumzia mwezi wa Mwenyezi Mungu wa "Muharram". Inajumuisha maana ya jina, sheria za miezi mitukufu, ubora wake na kwa nini umekuwa mwezi wa kwanza? Pia inazungumzia siku ya Ashura, kwa nini imepewa jina hili, ni ni zipi sheria na ni upi ubora wa kufunga siku ya Ashura?
Infografiki hii inapatikana kwa lugha mbali mbali.
Kiswahili
Muharram ni mwezi wa kwanza katika miezi ya mwaka (wa kiislamu ) wa Hijiriya . Muharram (Mfungo Nne) Infografiki hii inazungumzia mwezi wa Mwenyezi Mungu wa "Muharram". Inajumuisha maana ya jina, sheria za miezi mitukufu, ubora wake na kwa nini umekuwa mwezi wa kwanza? Pia inazungumzia siku ya Ashura, kwa nini imepewa jina hili, ni ni zipi sheria na ni upi ubora wa kufunga siku ya Ashura? Infografiki hii inapatikana kwa lugha mbali mbali.

MATINI YA AKIDA YA TWAHAWIYA
Kiswahili
MATINI YA AKIDA YA TWAHAWIYA

Muhtasari Wa Misingi Iliyojengewa Ushia Al-Imaamiya Al-Ithnaasheria
Kiswahili
Muhtasari Wa Misingi Iliyojengewa Ushia Al-Imaamiya Al-Ithnaasheria

Maswali Yaliyowaongoza Vijana wa Kishia Kuingia Katika Haki
Kiswahili
Maswali Yaliyowaongoza Vijana wa Kishia Kuingia Katika Haki

Nimefaidika kuwa na Maswahaba na wala sijapata hasara ya kuwakosa Aalbeiti
Kiswahili
Nimefaidika kuwa na Maswahaba na wala sijapata hasara ya kuwakosa Aalbeiti

Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo
Kiswahili
Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo

Mitume hawa Ibrahimu, Musa, Isa na Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yao ) walisali vipi?
Kiswahili
Mitume hawa Ibrahimu, Musa, Isa na Muhammad (Rehema na amani ziwe juu yao ) walisali vipi?

QUR,ANI TUKUFU na tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Kiswahili
QUR,ANI TUKUFU na tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili