×
KUKIMBIA KUTOKA KATIKA UPAGANI KWENDA KATIKA UISLAMU
Kiswahili

KUKIMBIA KUTOKA KATIKA UPAGANI KWENDA KATIKA UISLAMU

Author: Haitham Tal'at
Reads: 786

Description

Kwa jina la Mwenyezi Mungu na kila sifa njema zina mstahiki Mwenyezi Mungu na Rehema na amani ziwe juu ya Mjumbe wa Allah na kwa watu wake na Masahaba zake, na wale watakao mfuata, Na baada ya hayo: Kitabu hiki Kidogo: (Kukimbia kutoka katika upagani kwenda katika Uislamu). Kinatoa kijitabu hiki uwazi wa "Tabia ya upagani" na utata wake, na ni jinsi gani upagani (Upingaji) unavyopingana na mambo ya kawaida kiakili na kimaumbile. Na kinaweka wazi kijitabu hiki baadhi ya hoja zinazo thibitisha kuwepo kwa Muumbaji Aliye takasika ; KUKIMBIA KUTOKA KATIKA UPAGANI KWENDA KATIKA UISLAMU ; Mwandishi: Dr. Haitham Talaat
Download PDF

Scan to download

Open this link on your device or scan the QR code to download the book directly.

https://islamic-invitation.com/downloads/islam-and-atheism-face-to-face_swahili....